Configure HTML/JavaScript Fire & Rescue Singida Official Blog: June 2013

Monday, June 24, 2013

Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoa wa Singida limeendelea na kazi nzuri ya kuokoa mali na watu katika Mkoa wa Singida.
Jeshi la Zimamoto lilipokea taarifa kutoka kwa kwa Askari Boniface wamlamba kuwa kuna tukio la moto limetokea eneo la karakana,Askari mara baada ya kupokea taarifa hiyo walikwenda eneo la tukio na kufanikiwa kuzimamoto huo na kuokoa mali iliyopo kwenye  nyumba hiyo ya Bw.Mwaftari Jafari.
aidha chanzo cha moto huo ithibitika kuwa kuna dada wa mwenye nyumba aliyetaka kupoteza ushahidi wa wizi alioufanya wa kuiba kiasi cha sh elfu 70,000/= ambacho kilikuwa kwenye chumba hicho ambacho ndicho kiliaanzia moto huo,ambacho alitupia kipisi cha kiberiti ili kuwasha moto huo,Jeshi la zimamoto linaendelea na uchuguzi juu ya tukio hili.
Hasara kubwa iliyopayika ni kuungua kwa godoro na vifaa vingine vilivyopo kwenye hicho chumba kama ilivyo katika video hii hapa chini:-www.zimamotosingida.blogspot.com

Wednesday, June 19, 2013

ZIARA YA A/Insp. GILBERT .MWAISUNGA SINGIDA KATIKA SEMINA ELEKEZI NAMNA YA KUFANYA UKAGUZI WA KINGA NATAHADHARI ZA MOTO KATIKA MAJENGO MBALIMBALI YA MKOA WA SINGIDA,HAPO CHINI NI ASKARI WASHIRIKI WA SEMINA HIYO.

ICT R.FO na ni Afisa habari na mawasiliano wa Mkoa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoa wa Singida
 Fc Hassan J.Mtengevu



Baadhi ya Askari walioshiriki semina hiyo elekezi ya namna ya kufanya ukaguzi wa Kinga na Tahadhari za moto katika majengo na maeneo mbalimbali ya biashara katika Mkoa wa Singida.
Kutoka kushoto:SSF Kevin T.Mapunda,Fc Sakina I.kitwange,A/Insp. Gilbert Mwaisunga,Sgt Bahati H.Salum,Fc Anaclet P.Mzeru,Fc Juma S.Farijallah.
 Askari Sakina akikagua moja ya


Monday, June 17, 2013

Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Singida

Askari wa zimamoto na uokoaji mkoa wa singida wamuokoa kibaka asichomwe moto kwa wizi wa kuku.