Jeshi la Zimamoto lilipokea taarifa kutoka kwa kwa Askari Boniface wamlamba kuwa kuna tukio la moto limetokea eneo la karakana,Askari mara baada ya kupokea taarifa hiyo walikwenda eneo la tukio na kufanikiwa kuzimamoto huo na kuokoa mali iliyopo kwenye nyumba hiyo ya Bw.Mwaftari Jafari.
aidha chanzo cha moto huo ithibitika kuwa kuna dada wa mwenye nyumba aliyetaka kupoteza ushahidi wa wizi alioufanya wa kuiba kiasi cha sh elfu 70,000/= ambacho kilikuwa kwenye chumba hicho ambacho ndicho kiliaanzia moto huo,ambacho alitupia kipisi cha kiberiti ili kuwasha moto huo,Jeshi la zimamoto linaendelea na uchuguzi juu ya tukio hili.
No comments:
Post a Comment