Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Singida leo limeendelea kufanya maokozi eneo la peoples singida mjini baada ya gari ya
MOHAMEDI TRANS yenye namba za Usajili
T210APK likitokea Dodoma kuelekea Mwanza na kupata ajali eneo hilo,
Mashahidi wa Tukio hilo wamesema ni kusuka kwa Tairi ya mbele kulia ya Gari hiyo,hakuna kifo kilichotokea ila nimajeruhi kidogo ,ila kiujumla hakuna madhara makubwa.
Hapa angalia moja ya Video ya abiria waliokuwa wakisafiri na gari hiyo:
Ushauri:Kaimu kamanda Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Singida ameshauri madereva kuwa makini pindi wanapoendesha vyombo vya moto hasa wanapopakia abiria.
No comments:
Post a Comment